SGD PROGRAMU

Ni programu inayotumika kunasa taarifa za ukuaji wa mtoto chini ya umri wa miaka 5.

KUHUSU

Smart Growth Diary

  • Ni mradi ulioanzishwa mwaka 2019 katika manispaa ya Temeke Dar es salaam,Tanzania kwa lengo la kutokomeza udumavu wa watoto walio chini ya umri miaka 5.
  • Timu ya smart growth kwa kushirikiana na Mratibu lishe wa wilaya ya Temeke Bwana.Charles Malale waliweza kuzindua mradi huu katika vituo 25 vya afya katika Manispaa ya Temeke,ikiwemo vituo vikuu vitano(5)kama:

Mbagala Round Table Health Center  |  Mbagala Rangi tatu Hospital  |  Chamanzi Dispensary  |  Consolata Sister’s Dispensary  |  Tambuka Reli Dispensary.

WADHAMINI